Ni kweli mwanaume akishikwa na ngiri sio rijali?

Unavumilia huna ujanja, ila km kuna moto unaweza kujianika Mwili upate joto, pia kuna dawa za asili huwa zinatuliza kidogo, sasa shida Inakuja km ndo upo na mtoto mrembo chumbani kwny mgegedo halafu ndo ikakupata!😉

Si ni ugonjwa jamani lazima ataelewa tu
 
Hii inawapata wanaume tu, pumbu zinakuwa zinauma sana kwa ndani as if misuli imekaza! Unakuta mwanaume analia km mtoto mdogo

Cc Khantwe

kama ni hivyo hao wazee walikua wanajifariji kwa maumivu waliyoyapata
 
Last edited by a moderator:
Si ni ugonjwa jamani lazima ataelewa tu

Hahahahaaa ushawahi kushuhudia mwanaume anaangua kilio km mtoto mchanga...mbaya zaidi anakuwa ni mchepuko tu!

Am sure Honey Faith utakimbia bila hata kuvaa jeki!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaaa ushawahi kushuhudia mwanaume anaangua kilio km mtoto mchanga...mbaya zaidi anakuwa ni mchepuko tu!

Am sure Honey Faith utakimbia bila hata kuvaa jeki!

Naanzaje kumkimbia wakati tuko wote?namsaidia tu ila akirest in peace halafu tupo sijui guest yani hata unyayo wangu hautaonekana....
 
Last edited by a moderator:
Naona mnaichukulia ngiri kama ni ugonjwa wa mafua vile.Hii kitu usipopata hudumu stahiki on time unazikwa!! Unless kama kuna ngiri version mpya.Pumbu huwa hadi zinajaa ikikukamata barabara, maumivu ndo usiseme hadi kifua kubana na kukata pumzi.Watu wazima hulia huku kengele wamezianika nje.
 
Hao wazee wa maskani ndo walivyo hapo angekatiza mtu wanaemjua na ana nafuu kidogo na akapitiwa asiwasalimie mgebadili mada na kuanza kumsema yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…