............Pili nataka kujua kutoka kwenu kama mmewahi kushuhudia kitu kama hicho! kama ni kweli kuna anayefahamu inatokana na nini?
Habarini wana JF, Nimekuwa nikisikia kwa watu mbalimbali kuwa kuna wakati mwanamke akiwa mjamzito basi ile misukosuko ya mimba ikiwa ni pamoja na uchungu, kichefuchefu humkuta mwanaume pia. Kwanza naomba Mungu kama ni kweli hali hiyo isinikute. Pili nataka kujua kutoka kwenu kama mmewahi kushuhudia kitu kama hicho! kama ni kweli kuna anayefahamu inatokana na nini?
Vibaya hivyo GAZETI,
Hebu msaidie mwenzio kidogo, mi binafsi huwa nafurah hali hiyo ikiwakuta wanaume atleast nao wajue ni uchungu gani wanaoupata akina mama
Umenichekesha sana gazeti unajua kuna kaka yangu ambaye mkewe anapokuwa mjamzito hayo mambo humtokea sasa anataka kuongeza mke wa pili sijui itakuwaje wote wakiwa wajawazito sielewi kama atadabo au vipi, na wale wenye wake wanne sijui inakuwaje kama kutakuwa na mazingira kama hayo.Unajua ni hatari kwa watu ambao tuko kwenye ajira binafsi kama hayo mambo yanatokea. Halafu ile misukosuko mh! naogopa.
Vibaya hivyo GAZETI,
Hebu msaidie mwenzio kidogo, mi binafsi huwa nafurah hali hiyo ikiwakuta wanaume atleast nao wajue ni uchungu gani wanaoupata akina mama
Aisha afadhali huyo gazeti, mimi naogopa hata kushuhudia mke wangu akijifungua, Eti kuna kipindi walipendekeza wanaume tuwepo wakati wake zetu wakijifungua. Aaah! bora sasa wamenyamaza hawauzungumzii tena mpango huo nilikuwa sina raha.
Heheeee!
Ndo muwaheshimu mama zenu, mi binafsi huwa nawashangaa wanaowadharau mama zao na kuwatukana huwa natamani na wao wapate uchungu kama waliopata mama zao wakati wa kujifungua
Jamani tupate mara ngapi, ungetuona huko mtaani tunavyolamba virungu ya askari wa jiji ndo ungejua uchungu wetu unalipiwa vipi!
Habarini wana JF, Nimekuwa nikisikia kwa watu mbalimbali kuwa kuna wakati mwanamke akiwa mjamzito basi ile misukosuko ya mimba ikiwa ni pamoja na uchungu, kichefuchefu humkuta mwanaume pia. Kwanza naomba Mungu kama ni kweli hali hiyo isinikute. Pili nataka kujua kutoka kwenu kama mmewahi kushuhudia kitu kama hicho! kama ni kweli kuna anayefahamu inatokana na nini?
Nilishaona hii kwa rafiki wa karibu na mwanaume alitaabika mpaka yule dada alipojifungua ila nikashindwa ku connect hii kitu inahusianaje?Habarini wana JF, Nimekuwa nikisikia kwa watu mbalimbali kuwa kuna wakati mwanamke akiwa mjamzito basi ile misukosuko ya mimba ikiwa ni pamoja na uchungu, kichefuchefu humkuta mwanaume pia. Kwanza naomba Mungu kama ni kweli hali hiyo isinikute. Pili nataka kujua kutoka kwenu kama mmewahi kushuhudia kitu kama hicho! kama ni kweli kuna anayefahamu inatokana na nini?