Hii kitu ina ukweli kidogo
Mi niliona kaka yangu alikula embe mbichi, udongo na kuumwa kila siku asubuh mpaka mkewe alipojifungua ikaishia hapo. Na huwa inakuwa kama mume akiwa hivyo bac mke haumwi kabisa. Sasa sijui huwa inahusika vip hapo.
Nataman imemtokee na wangu ili ajue inavyokuwa nami nipumzike...