Ni kweli Nelson Mandela alifia gerezani 1985?

Siwezi zungumzia sana ufake wa Mandela. Ila kuhusu kutokuja kwenye msiba wa Nyerere, Binafsi naamini kuwa, highly probable ,spiritual bond waliyokuwa nayo watu hawa, Mandela angefika msibani, possible angefariki pia. Hata katika Jamii zetu, wapo watu/ wazee ambao Wana spiritual bond kubwa kiasi kwamba mmoja akifariki Mwingine huwa hahudhurii msiba wake kabisa. wengine pamoja na kutohudhuria Lazima augue.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Stori za vijiweni
 
Stori za vijiweni
Sure, watu waongo sana, alitoka
Akawa anapiga stories na watoto wake na washikaji wengine, hata ile hotuba yake aliyoitoa wakat ametoka, alikua anasoma hints tu, mengine yote anatoa kichwa akiwashukuru kwa kuwataja wengi na wengine walikua tayar wametangulizwa mbele za haki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na aliyekuja Tanzania kupewa passport na Nyerere alikuwa ni Mandela au Makanda?
Aliikumbukaje mitaa alijokuwa anaishi Dar kwa yule mama yalipo mabaki ya nguo zake?
Aliwezaje kukumbuka story zake na rafiki yake Mwl. Nyerere
Kwann hakuja kwenye msiba Wa nyerere kama kweli alikua rafiki
 
Hizo habari hazina mashiko kwenye ulimwengu wa sasa.
 
The investigation into Arafat's death came up with the worst lie as compared to the previous ones!
 
Hizi Conspiracy sio za kuamini sana ....hata kaama alifundishwa kuwa Mandela haina maana kuwa alifundishwa kuwakumbuka wana ukoo wote wa Ukoo wa Mandela , taratubu zao , hadithi zao ....kila mmoja sio jambo rahisi ....kama angekuwa wa uwongo lazima ingekuwa rahisi kugunduliwa na ndugu zake ...lakini zaidi angechukua tahadhari ya kuishi mbali na wana ukoo wa mandela
 
Shukrani...!
 
Hata hii kitu ingewekwa mathematically, probability ya kuwa habari ya weli ni zero! Sema tu we literally don't use our full brains anymore. Nadhani kuna kasoro kubwa katika namna ya ufundishaji na maarifa kutoka zile elimu zetu za awali za kusikiliza sana hadithi za wahenga ambazo tunajua nyingizo ni hekaya & "abunuwasi" tu. Bahati mbaya, zinaaminiwa na kienziwa kama ndio ukweli. Na ndivyo hivyo bongo zetu zinakuwa zimeghilimishwa kuamini uongo zaidi na kuukataa ukweli, hata kama ukweli ni dhahiri na mantikifu (reasonable) kwenye fikra, wakati uongo unaoaminiwa ni mantififu (unreasonable)!
 
Hata Mzee Mugabe aliwahi kumkataa Mzee Mandela na kumkubali Mwalimu Nyerere, ni baada ya Mandela kutoka jela na kulegeza kamba kwa wazungu akamuona nimsaliti kwa
 
Hata Mzee Mugabe aliwahi kumkataa Mzee Mandela na kumkubali Mwalimu Nyerere, ni baada ya Mandela kutoka jela na kulegeza kamba kwa wazungu akamuona nimsaliti kwa
Nadhani usaliti ndiyo sababu ya concept hii ya another Mandela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…