Ni kweli Ngwair wakati anafariki alikuwa amekwisha kimuziki?

Ni kweli Ngwair wakati anafariki alikuwa amekwisha kimuziki?

central midfielder

Senior Member
Joined
Apr 14, 2023
Posts
146
Reaction score
215
Ni kweli Ngwair wakati anafariki alikuwa tayari amekwisha kimuziki? Yani hakuwa na hits kali, hakuwa na ngoma zinasumbua?

Majibu wadau..
 
Alikuwa anatoa ngoma na ni classic, ila alikuwa hazingatiwi tena.
"Mbona Ngwair hauonekani, vp hauna Tv?"
 
Ni kama alipoteza mwelekeo, may be was air time or something else
 
Ni kweli alishapoteana na wabongo walishamtupa, siku za mwisho wa uhai wake alikuwa anajitafuta arudi tena. Alijaribu kurudi na Alma, Maskini wenzangu pamoja na ile alifanya na Jordan "Bila wewe"
 
Ni kweli alishapoteana na wabongo walishamtupa, siku za mwisho wa uhai wake alikuwa anajitafuta arudi tena. Alijaribu kurudi na Alma, Maskini wenzangu pamoja na ile alifanya na Jordan "Bila wewe"
+ No beef ft T.I.D
 
NGwea alipatwa na stress baada ya album yake bora kabisa AKA MIMI kuuza shiling lak 6 manager akiwa Dj venture,ngwea alikua na bar sinza na gar lakn vyote vikapotea,kule south alienda beba unga
 
Back
Top Bottom