central midfielder
Senior Member
- Apr 14, 2023
- 146
- 215
Ni kweli kabisa.Ni kweli Ngwair wakati anafariki alikuwa tayari amekwisha kimuziki? Yani hakuwa na hits kali, hakuwa na ngoma zinasumbua???
Majibu wadau..
Yeah alikuwa hapewi AirtimeNi kama alipoteza mwelekeo, may be was air time or something else
+ No beef ft T.I.DNi kweli alishapoteana na wabongo walishamtupa, siku za mwisho wa uhai wake alikuwa anajitafuta arudi tena. Alijaribu kurudi na Alma, Maskini wenzangu pamoja na ile alifanya na Jordan "Bila wewe"