Ni kweli nina mtafuta ila anatakiwa awe na sifa hizi:

Ni kweli nina mtafuta ila anatakiwa awe na sifa hizi:

wabuyaga

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,681
Reaction score
588
NI KWELI NINA MTAFUTA ILA ANATAKIWA AWE NA SIFA HIZI:

1. MWANAMKE AMBAYE NI MWALIMU
2. UMRI UNAO MRUHUSU KUPATA MTOTO
3. AWE AMEISHA YAONA MAISHA NA KJUA NINI MAANA YA MAISHA!
4. AWE ANATOKEA SEHEMU YA MKOA WA KAGERA
5. ITAKUWA VIZURI KAMA ATAKUWA ANAISHI KATIKA WILAYA ZA BUKOBA NA MULEBA
6. KATIKA KUJENGA UHUSIANO HUU KUPIMWA KWANZA NI JAMBO HALIKWEPEKI KABISA. KAMA HAYUKO TAYARI KUFANYA HIVYO BASI ASINIANDIKIE TAFADHARI!
7. KWA SASA HIVI MIMI SIKAI NCHINI ILA NIKO NCHI ZA NJE! MAELEZO YATAFUATIA BAADA YA KONTACTS KUPITIA KATIKA EMAIL YANGU: wabuyaga58@gmail.com

AHSANTENI SANA

WABUYAGA
 
Walimu wako madarasani sahizi subiri saa kumi watoke,utapoke pm zao ka mvua
 
Hizi post mbona zimekuwa nyingi sana, inawezekana kuna watu wanafanikiwa humu!!!!
 
Bro ungelegeza masharti 4 na 5 ungepata uwanja mpana sana na ungetengeneza familia nzuri sana.

Wishing you lucky lakini
 
Kupata mke au mume mtandaoni ni risk kubwa sana. Usione rahisi kuandika email ukadhani kumpata the right candindate ni rahisi pia. Matapeli ni wengi mtandaoni kuliko unavodhani!! So take precaution!!
 
hivi kuna muhaya hakai nje ya nchi?
dah mi nataka wa hapa hapa tz
nafundisha amani hapa bukoba
 
Back
Top Bottom