7. KWA SASA HIVI MIMI SIKAI NCHINI ILA NIKO NCHI ZA NJE! MAELEZO YATAFUATIA BAADA YA KONTACTS KUPITIA KATIKA EMAIL YANGU: wabuyaga58@gmail.com
AHSANTENI SANA
WABUYAGA
yes maam,nimeona!!nimeku PM tayari
Kwa style hii utawapata wengi,jiandae kupokea mails
Hizi post mbona zimekuwa nyingi sana, inawezekana kuna watu wanafanikiwa humu!!!!