Mkuu nilijua unajua vitu vya MAJINI tu kumbe mpaka magari unayajua vzrPata yoyote kuanzia 2000 kwenda juu lakini ni vema uchukue Klugger kuliko Nissan Xtrail
Habari zenu wana JF
Najua humu nitapata jibu kamili....
Mimi napenda Sana Nissan X trial ila naambiwa kwamba Zina matatizo mfumo wa umeme, kuna wengine wanadai kuna mpya ambazo hilo tatizo wamerekebisha, kama kweli Ni kuanzia mwaka gani na je hilo tatizo la umeme nikweli au Habari ya kusadikika?
Ahsanteni
Kiraka[emoji3] [emoji3] [emoji3]Mkuu nilijua unajua vitu vya MAJINI tu kumbe mpaka magari unayajua vzr
Wanyama kazi hao japo wanahitaji matunzo ya uhakikaHapa hapa na mimi ngoja nichomekee langu, vipi kuhusu Toyota brevis engine ya D 4.na hizi toyota mark X zina matatizo gani
Nimetumia NISSA X -TRAIL before, hili gari sio common saaana Tanzania, na maana yake ni kwamba kupata fundi mzuri sana (MZURI SANA) wa kutatua tatizo vyema yaweza kuwa changamoto (Niamini mimi hakuna fundi Tanzania anayesema hawezi, na utajua hawezi akishakuharibia gari)
Nissan haina shida, ila yaitaji kuheshimu sana service and get right people unapokuwa na tatizo. Kama gari litakuwa la mkono mmoja, unasimamia service zozote, wafanya service kwa wakati, then utalifurahia. Ukileta tu gumashi imekula kwako. I would rather get a Toyota Kluger or similar car, because nothing special with X- TRAIL, but the price is chini kidogo compared to the rest.
Kama yapi mkuu hapo ndio nahitaji kujua zaidiWanyama kazi hao japo wanahitaji matunzo ya uhakika
magari hayo yakizamani mkuu?? kuna vitu vingi unavikosakama una hela chukua RAV4 OLD 1995-1999 3s engine direct from japan mbona mpaka wajukuu wataikuta
vitu gani hivyo vinavyokosekanamagari hayo yakizamani mkuu?? kuna vitu vingi unavikosa
Nimetumia X-trail kuanzia ina 25km mpaka sasa ina 160,000km.
Ukiwa nayo fanya yafuatayo=
1. Pata original engine oil. (super nissan)
2. Original oil filter, air filter.
3.Heshimu muda wa Services per oil instruction.
4. Tumia diagnosis machine inapoleta tatizo sio kubahatisha kwa mafundi waya.
5.Vitu vingine ni kawaida.
Ila inadumu na haiharibiki hovyo.
Mpaka sasa naitumia na nimezunguka Tz nzima sijapata shida, inakimbia na haiyumbi barabarani.
Mwisho kwa gari yoyote usinunue iliyocho, na model ya kizamani, nenda na wakati mkuu.
KARIBU.
Vipi kuhusu miguu na matumizi ya barabara ya vumbi?Nimetumia X-trail kuanzia ina 25km mpaka sasa ina 160,000km.
Ukiwa nayo fanya yafuatayo=
1. Pata original engine oil. (super nissan)
2. Original oil filter, air filter.
3.Heshimu muda wa Services per oil instruction.
4. Tumia diagnosis machine inapoleta tatizo sio kubahatisha kwa mafundi waya.
5.Vitu vingine ni kawaida.
Ila inadumu na haiharibiki hovyo.
Mpaka sasa naitumia na nimezunguka Tz nzima sijapata shida, inakimbia na haiyumbi barabarani.
Mwisho kwa gari yoyote usinunue iliyocho, na model ya kizamani, nenda na wakati mkuu.
KARIBU.
Xtrail kizunguzungu kwa sisi wenye hela za kuunga na mafundi waya.Vipi kuhusu miguu na matumizi ya barabara ya vumbi?