Ni kweli nyumba ndogo wanatusanifu?


Maelezo yako yamenifurahisha sana, ni ukweli mtupu mambo yote tunayaona live bila chenga
 
Bora umeanza kuzinduka, hapo inapendwa hela yenu tu, hebu jaribu kutokumkatia keshi huyo small wako halafu uone kama hujamfumania within a month.
 
wifi khabari yangu mie alhamdulillah (kakako kafanya kazi kweli kunifunza,lol)
za huko kwenu? its a promising wknd,lol. futa dancing shoes kabisaaa
Wifi King habari yako bana???
 
i trust and love u kimshazari kabisaa! una akili kama mchwa wa pangani!
wape wapee vidonge vyao,wakimeza wakitema shauri yao (sijaskia mtu akiitikia chorus,ama hii ndo chorus yenyewe?)
 
heheheeee, hii mupya kwa hiyo unamaanisha waanze kuzini na wanaume wenzao? Wonder shall never end

Hapana Bombu, hii imeandikwa kwenye Biblia..sio mpya ilikuwapo hata kabla haujazaliwa na itakuwepo pia
 
Wandugu kweli hizi nyumba ndogo huwa zinatusanifu tu nasisi kunawakati huwa tunahisi kabisa kama zinasanifu lakini sijui huwa tunakuwa na akili zakushikiwa, mfano hai nilpotoka kidogo nasema kidogo kwakuwa sio tabia yangu kuchepuka ikatokea nikawa na kimalaya kimoja kwamuda mfupi lakini kila nikichunguza mienendo yake naona kama kinanitapeli kibaya zaidi kiliweza jua namba ya my wife na ikatokea bahati mbaya kumbe mama wakishangu hicho kinakaa jirani na kwangu nilpogundua nikakipiga chini sikaanza kumtusi my wife na kumtambia mumeo nimemshika na ntahakikisha anakuacha. kakuchoka anasema wewe mchafu unanuka huna hazi ya kuwa nae kaamua kunifata mimi, mzuri najua kuvaa. yani mambo juu ya mambo ukimcheki mkewangu alivyo bomba halafu nachenyewe mpaka unaona aibu kuzalilisha mkewako kwakishenzi kama kile sijui hakijioni nakujifananisha yani nakwambieni hauna mana kabisa huu mchezo acheni kabisa sasa hiki kilivyo ona kimebwagwa kikaona kiharibu sijui niachane na my wife lakini mungu kasidia mkewangu kasamehe nachukia sana hii tabia wanume tuwe makini jamani mkweko ndie uwalako na ndie anaesthili kilakitu hakuna tofauti ya ladha nikuwa wawazi tu kunako mapambano utaridhiana
 
mtoa mada, ukitaka kujua kama nyumba ndogo inakusanifu ama vipi:
1 filisika/fulia
2. poteza kazi
3.ugua muda mrefu
ukumbuke mrudisho nyuma baba :washing:

umeeleza mambo ya msingi kabisa ya kujitathmini ktk hizi nyumba ndogo,
changamoto inayokuja ni kwamba hata hawa wenye wake zao wanaweza kimbiwa na wake zao wa ndoa endapo kama mme au mke atajikuta ktk moja au zaidi ya hayo majanga oloyainisha hapo juu,
pia hata pia kuna baadhi ya nyumba ndogo zinaweza simama na wewe ktk hayo majanga,
mi nadhani anayemtegemea mwanadamu amepotea zaidi wa kumtumaini ni Mola pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…