tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Kura moja ya Mwambegele inawakilisha kura million 30 za Watanzania wa kawaida!Kura ni kweli alipata.
CCM wanaposema Samia amepata kura Milioni 31 hawadanganyi.
Kwao kura moja sio lazima ipigwe na mpigakura mmoja. Kama mnavyoona kwenye video mpiga kura mmoja anaweza kuweka nyingi awezavyo tena kwa usaidizi wa watu kutoka kwenye tume ya taifa ya Uchaguzi.
CCM Oyeee!
View attachment 3497622
View attachment 3497623
View attachment 3497624
Hii inahitaji uwe na akili nzito sana kuamini kwamba hakukuwa na mchezo mchafu kutoka kwa wasimamizi wa huo uchaguzo wao.CCM ina wanachama milioni kumi na tatu,wamepata kura milioni thelathini na moja ambazo zilihesabiwa ndani ya siku mbili au tatu wakati mtandao ulizimwa nchi nzima...
🙄