Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Habarini
Wiki tatu zilizopita nilikuwa na hali mbaya macho yalikuwa yananiuma vibaya sana , tatizo kubwa likiwa ni mwanga yaani penye giza maumivu yanapungua.
Basi nikaenda hospitali nikapimwa nikapewa dawa za kutumia mwezi mzima now sijambo ingawa bado naendelea na dawa
Sasa watu wangu wa karibu wananambia ni hizi simu ndio tatizo mie simu yangu huwa napunguza mwanga hadi mwisho
Je kuna kaukweli?!