Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,577
Macho yangu yako vizuri yanaona vizuri na hayajawahi kunisumbua hii ndio Mara ya kwanzaKm una uoni hafifu halafu unakandamuza/sogeza simu usoni ndio tatizo
Unaweza kupata gata kansa ya macho
Watu wenye uono hafifu wanasgauriwa kutotimiatumia kompyuta
Nilichogundua una tatizo la kutoona mbali hivyi simu unaweja karibu na machoMacho yangu yako vizuri yanaona vizuri na hayajawahi kunisumbua hii ndio Mara ya kwanza
Mh! Labda kweli!Nilichogundua una tatizo la kutoona mbali hivyi simu unaweja karibu na macho
Hilo ndio tatizo
Mkuu unatumia tecno?Habarini
Wiki tatu zilizopita nilikuwa na hali mbaya macho yalikuwa yananiuma vibaya sana , tatizo kubwa likiwa ni mwanga yaani penye giza maumivu yanapungua
Basi nikaenda hospital nikapimwa nikapewa dawa za kutumia mwezi mzima now sijambo jngawa bado naendelea na dawa
Sasa watu wangu wa karibu wananambia ni hizi simu ndio tatizo mie simu yangu huwa napunguza mwanga hadi mwisho
Je kuna kaukweli?!
Dawa zake saasa vidonge 60 ni laki na 20Usikute kweli mana jicho langu lina uma hapa toka jana nimechart sana
Turudi tu kwenye zama za barua Na sanduku la postaHabarini
Wiki tatu zilizopita nilikuwa na hali mbaya macho yalikuwa yananiuma vibaya sana , tatizo kubwa likiwa ni mwanga yaani penye giza maumivu yanapungua
Basi nikaenda hospital nikapimwa nikapewa dawa za kutumia mwezi mzima now sijambo jngawa bado naendelea na dawa
Sasa watu wangu wa karibu wananambia ni hizi simu ndio tatizo mie simu yangu huwa napunguza mwanga hadi mwisho
Je kuna kaukweli?!
Yah! Ni kweli natumia tecno halafu hata mm yalianza kuwashawasha hjvyohivyo then hali ikawa mbayaMkuu unatumia tecno?
Hii hali imenianza na mimi baada ya kuanza kutumia tecno miezi mitatu iliyopita. Yanawasha sana!
Njoo unithibitishie niitupe hii simu mara moja.
Na mjomba wangu ana dawa ya kienyeji ntapona tuDawa zake saasa vidonge 60 ni laki na 20
Daaah!!! Hizi tecno ni mabomu, naachana nayo soonYah! Ni kweli natumia tecno halafu hata mm yalianza kuwashawasha hjvyohivyo then hali ikawa mbaya
Haya weeNa mjomba wangu ana dawa ya kienyeji ntapona tu
Mi mwenys naweka ziro but nimeumwaMuwe mnapunguza mwanga wa simu hasa usiku... me hua naweka ziro.