Ni kweli sperms zina vitamins kwa kina mama?

Ni kweli sperms zina vitamins kwa kina mama?

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2010
Posts
1,945
Reaction score
728
Hi JF Doctors..!
Mara nyingi nimekuwa nasikia kuwa mbali na kutunga mimba pia mbegu za kiumbe zina vitamins ambazo humnenepesha mwanamke hasa makalio na pia huufanya mwili wawanamke kulainika zaidi je kuna ukweli katika hili?
Naomba kueleweshwa kwa wanaojua.
cc MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom