Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
Hi JF Doctors..!
Mara nyingi nimekuwa nasikia kuwa mbali na kutunga mimba pia mbegu za kiumbe zina vitamins ambazo humnenepesha mwanamke hasa makalio na pia huufanya mwili wawanamke kulainika zaidi je kuna ukweli katika hili?
Naomba kueleweshwa kwa wanaojua.
cc MziziMkavu

Kula tu ukipigwa bao wewe kula tu na ukitaka za ziada uje kwangu
Ndio zinazo Sperms za kiume zinazo faida kwa akina mama soma hapa chini :Hi JF Doctors..!
Mara nyingi nimekuwa nasikia kuwa mbali na kutunga mimba pia mbegu za kiumbe zina vitamins ambazo humnenepesha mwanamke hasa makalio na pia huufanya mwili wawanamke kulainika zaidi je kuna ukweli katika hili?
Naomba kueleweshwa kwa wanaojua.
cc MziziMkavu
Vipi hujambo mkuu Advocate?MKUU mzizi mkavu njoo huku.
C kweli.