Ni kweli sperms zina vitamins kwa kina mama?


tafuta dushelele moja ulikamua halafu unywe utuambie ubora wake
 
Last edited by a moderator:

Jibu ni HAPANA...

Lazima ufike mahali utambue sababu zinazomfanya mwadamu awe mwanamke au mwanaume anenepe ni zipi.

Ulaji wa chakula haswa chenye asili ya wanga au mafuta zaidi ya mwili unavyohitaji ndio haswa upelekea mtu kunenepa kwa chakula cha ziada katika mfumo wa mafuta kujilimbikiza chini ya ngozi.

Vyakula jamii ya hamirojo(protein) havina asili ya kunenepesha mwili kwani huwa na kawaida ya kuunguzwa na mwili na hutumika kujenga afya ya mwili.

Vyakula jamii ya vitamini hivi mara nyingi huwa ni virutubisho tu na asili yake hupaikana sana kwenye mimea au hata vyakula vilivyosindikwa vyenye madini virutubisho.

Kwa mantiki hiyo, hata kama mbegu za kiume zingelikuwa au zina vitamini/hamirojo kwa wingi kiasi gani, bado sio sababu ya wanawake kuwa na makalio au nyoga kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…