Ni kweli Tanga ndipo mapenzi yalipozaliwa au tunapigwa?

Sio kwamba hayo mahaba ni feki, ni ya kweli ila ni tamaa tu na sometimes ujinga unawapeleka puta.

Hlf Tanga ni mji una mambo ya utani sana, so kiutaniutani mdada anaweza kuliwa.
Nikienda Tanga ntakuwa nashinda kule kwenye uzi wa kimasihara....yani ma breakin news tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…