Wadau,nimemsikia waziri wa mambo ya nje Mh.bernard membe akizungumza ktk kpnd cha dakika 45 hv hii inaweza kuwa kweli?
Naombeni mnifahamishe ni vigezo gn wanavyo2mia ku rank?
Au ndo propaganda za umoja wa mataifa ili 2pate kichwa tutoe majeshi y2 mara kwa mara kwenda kulinda amani nchi zenye mizozo!