<br />Utaratibu kwa mwaka huu umebadirika na uko hivi.. TCU walitoa machaguo, yakapelekwa kwa vyuo husika navyo vikayachuja kwa vigezo vya vyuo hivyo, halafu machaguo ya chuo yakarejeshwa tena TCU kubarikiwa na sasa yamerejeshwa tena vyuoni kila chuo kichukue jukumu la wakuwatangazia wale walio chaguo lao. Pole najua umepata usumbufu, habari ndiyo hiyo, subiri matangazo ya vyuo. kwa nini imekuwa hivyo kwa kweli sina jibu kwa sasa

Felow members,! Msiumize akili zenu na hawa Tcu,mtakufa na presha2. Cha muhimu mnaojiandaa kuingia chuo,mumuombe mungu mpate course mnazotaka kusoma kwa moyo wote mana unaweza shangaa una div. One halafu unapata choice ya 8. Sawa jamani?
<br />
<br />
kaka uko serious ama?