Ni kweli TFF wanashindwa kupanga ratiba ya ligi, kuepuka viporo au wanafanya makusudi?

CK Allan

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2013
Posts
2,781
Reaction score
6,139
Nashindwa kuelewa Ni dharau, makusudi au Ni kweli TFF wanashindwa kupanga hii ratiba?

Angalia timu zipo mechi za 11 nyingine, 9, 8, 7, 5, 10!
 
Wenzetu Vyama vya soka ulaya hupanga ratiba kwa kufuata kalenda ya kimataifa yaani mashindano ya Fifa na mashindano ya Uefa.Huku utashangaa kulikuwa na Mechi zilizopangwa siku za mechi za kimataifa hivyo zinaahirishwa, sijajua kwanini na tatizo liko wapi, CAF wanachelewa kupanga ratiba zao??
 
waziri mwakyembe alisema ataomba msaada Shirikisho la soka duniani ili wapewe darasa juu ya upangaji wa ratiba lakini kama kawaida yake wala hafuatilii lolote ktk ligi!
 
Kawaida tu mkuu.. Mbona mwaka Jana nanyi Mikia mlikuwa na viporo vingi tu
 
Hua mnatoa lawama bila kuangalia hali halisi ya nchi yetu, kwanini hamjiulizi sababu ya viporo ni nini?

Mfano Ndanda alikua anaenda Kagera na Mara basi likapata ajali ikabidi mechi zake zote 2 zihairishwe.

Azam, Yanga, Kmc mnajua walikua kimataifa. Nyie watu msiwe na uwezo Mdogo wa kureason vitu. Hata wewe tukikupa kazi ya kupanga ratiba ya ligi kuu Tz bara lazima uugue kichwa, halafu nyie mnadhani ni kazi nyepesi.
 
Hoja yako mkuu ni dhaifu sana na ya kitoto! Mbona team za huku Kenya zinacheza vizur tu na wote tupo kwenye game za kimataifa

Ratiba za clab bigwa za Africa na international matches zinatokaga mapema sana mwanzo tu wa msimu

Shida iliyopo TFF hawana muda wa kuwekeza kwenye technology ya IT vijana wapo wengi tu pale DIT,UDSm na vijana wa mtaani waajir wawatengenezee ratiba ya kisomi

Chukulia mfano league ya EPL na ulaya kwa ujumla wana

EPL
Carabao cup
FA
Champions league
World club champion and
International friendly matches

Ila hutaskia game zinagongana wala mtu kuwa na viporo vya game 9 au 8

Labda wanafanya makusudi ili kuwe na sababu ya kuarisha mechi, kuna timu zinapenda kuwa na viporo.
Wenzetu Vyama vya soka ulaya hupanga ratiba kwa kufuata kalenda ya kimataifa yaani mashindano ya Fifa na mashindano ya Uefa.Huku utashangaa kulikuwa na Mechi zilizopangwa siku za mechi za kimataifa hivyo zinaahirishwa, sijajua kwanini na tatizo liko wapi, CAF wanachelewa kupanga ratiba zao??
 
Kuongea Ni Jambo lingine na kufuatilia alichoongea Ni Jambo lingine
waziri mwakyembe alisema ataomba msaada Shirikisho la soka duniani ili wapewe darasa juu ya upangaji wa ratiba lakini kama kawaida yake wala hafuatilii lolote ktk ligi!
 
Hoja yako mkuu ni dhaifu sana na ya kitoto! Mbona team za huku Kenya zinacheza vizur tu na wote tupo kwenye game za kimataifa

Ratiba za clab bigwa za Africa na international matches zinatokaga mapema sana mwanzo tu wa msimu

Shida iliyopo TFF hawana muda wa kuwekeza kwenye technology ya IT vijana wapo wengi tu pale DIT,UDSm na vijana wa mtaani waajir wawatengenezee ratiba ya kisomi

Chukulia mfano league ya EPL na ulaya kwa ujumla wana

EPL
Carabao cup
FA
Champions league
World club champion and
International friendly matches

Ila hutaskia game zinagongana wala mtu kuwa na viporo vya game 9 au 8

Kweli Mkuu ina maana sisi TZ tuna mashindano mengi kuliko Ulaya?
 
Back
Top Bottom