Fundi kakupindishia nyumba yako.Nimekuwa na Tatizo la kuona kila niki weka tiles, zinapishana. Mara nyingi na nunuaga tiles za makampuni ya hapa nyumbani Tz, kwa sababu ya Urahisi, lakini pia kuinua viwanda vya ndani.
Ila mara zote naona mistari haija nyooka, mara zote nikiwauliza mafundi wananiambia tiles za kichina na za Tanzania zinapishana. Sasa najiuliza je hii ni kweli?
Na sababu inakuwa nini? Maana nilidhani tiles zinatengenezwa kwa frame maalumu ambayo ina vipimo sawa. Hebu watalaamu wetu mtusaidie ukweli wa hili.
Kwa kawaida unaposeti tiles vipande huwa vinakaa pembeni ukutani,na vinakatwa kulingana na sakafu umekaaje,sidhani kama kuna uhusiano na kunyoosha au kupindisha mistari,tiles unaweza kuzi shape kulingana na eneo unalozibandika.Fundi kakupindishia nyumba yako.
Nyumba yako, yaani kila chumba hakina mita za mraba kamili. Kuna error ya zaidi ya 1%.
Hizo spacer baada ya kumaliza kazi huwa mnazitoa au zinabaki hapo hapo?Ni kweli ,tiles ambazo hazina kasoro ni za spain tu,na bei yake imesimama hatari.nyingine zina kawaida ya kupishana ukubwa 1inch.
Sasa kabla ya kuanza kuweka tiles ni vyema fundi kutoa tiles moja kwa kila boksi kisha kutenganisha boksi zenye tiles zilizozidi ukubwa,na zile zilizopungua ukubwa,(huwa ni kidogo sana).
Kisha fundi aanze na zile tiles ndogo kwa kutumia spacer kwenye mistari.zikiisha ndio atumie zile kubwa bila spacer.
Matokeo huwa yana nafuu na mistari kunyooka ingawa mingine itakuwa mipana kidogo (yenye spacer),na mingine itakuwa mwembamba(isiyo na spacer).
Ni changamoto sana kwa mafundi kuweka hizo tiles za bei nafuu.hayo ndio maujanja ya kuweka hizo tiles.
Huwa hazipishani squre(zile kona nne),zinapisha upana/urefu.
Hizo spacer baada ya kumaliza kazi huwa mnazitoa au zinabaki hapo hapo?
Ukiweka tiles nyumba nyingi ambazo zimejengwa enzi za mkoloni, kama tiles hizo siyo pieces kubwa, huwa zina fit na kama hazifit, huwezi kuona tile yoyote ambayo haipo straight. Na kama zipo zimekatwa basi zote pembezoni zitakuwa na shape ileile.Kwa kawaida unaposeti tiles vipande huwa vinakaa pembeni ukutani,na vinakatwa kulingana na sakafu umekaaje,sidhani kama kuna uhusiano na kunyoosha au kupindisha mistari,tiles unaweza kuzi shape kulingana na eneo unalozibandika.
Nadhani tatizo analoongelea mtoa mada ni namna ya kuweka mlolongo wa tiles na tiles, hapa ukiangalia utagundua tu makosa baada ya fundi kuweka mistari miwili tu,si lazima nyumba nzima.
Neno linaloleta maana nzima ya mada ni "kupishana". Kwanini zipishane kama chumba kipo straight kila corner?
Mimi siyo mjenzi ila nimegundua hili nilipojengewa na fundi wa mtaani. Tiles ilibidi zichongwe na nilipouliza wataalam wa ujenzi, hilo ndio jibu nililopewa na kwangu lilileta maana.
Jaribu siku moja kuweka tiles nyumba za mkoloni, mfano zile za chang'ombe uhindini.
Yaani akajaribu tu kuweka tiles kwenye nyumba za watu!!
Kwanini zipishane wakati chumba kipo straight?Ukiweka tiles nyumba nyingi ambazo zimejengwa enzi za mkoloni, kama tiles hizo siyo pieces kubwa, huwa zina fit na kama hazifit, huwezi kuona tile yoyote ambayo haipo straight. Na kama zipo zimekatwa basi zote pembezoni zitakuwa na shape ileile.
Neno linaloleta maana nzima ya mada ni "kupishana". Kwanini zipishane kama chumba kipo straight kila corner?
Mimi siyo mjenzi ila nimegundua hili nilipojengewa na fundi wa mtaani. Tiles ilibidi zichongwe na nilipouliza wataalam wa ujenzi, hilo ndio jibu nililopewa na kwangu lilileta maana.
Jaribu siku moja kuweka tiles nyumba za mkoloni, mfano zile za chang'ombe uhindini.
Yaani akajaribu tu kuweka tiles kwenye nyumba za watu!!
Unatumia tiles za kampuni gani ambazo zinakupa changamoto ya square?Nimekuwa na Tatizo la kuona kila niki weka tiles, zinapishana. Mara nyingi na nunuaga tiles za makampuni ya hapa nyumbani Tz, kwa sababu ya Urahisi, lakini pia kuinua viwanda vya ndani.
Ila mara zote naona mistari haija nyooka, mara zote nikiwauliza mafundi wananiambia tiles za kichina na za Tanzania zinapishana. Sasa najiuliza je hii ni kweli?
Na sababu inakuwa nini? Maana nilidhani tiles zinatengenezwa kwa frame maalumu ambayo ina vipimo sawa. Hebu watalaamu wetu mtusaidie ukweli wa hili.
Fundi kakupindishia nyumba yako.
Nyumba yako, yaani kila chumba hakina mita za mraba kamili. Kuna error ya zaidi ya 1%.
Kwa kawaida unaposeti tiles vipande huwa vinakaa pembeni ukutani,na vinakatwa kulingana na sakafu umekaaje,sidhani kama kuna uhusiano na kunyoosha au kupindisha mistari,tiles unaweza kuzi shape kulingana na eneo unalozibandika.