AZUSA STREET
JF-Expert Member
- Oct 31, 2013
- 2,007
- 1,897
Hizo ndio mbwembwe za kampeni kwa ajili ya uchaguzi mwaka2015
hapa kazi tu yafaa kuwa macho kabisa na wawekezaji wa india. inaonekana wengi ni wababaishaji viwango duni na wanaendekeza rushwa.Nimeona kwenye tv kuna mwekezaji anatuonyesha tena mapicha ya train za kisasa sana anasema kuanzia mwakani zitaanza kufanya kazi. kuna wawekezaji flani nimewaona wengine wana sura za kihindi (unakumbuka walichotufanya wahindi reli ya kati). mwenye fununu tuhabarishe.