ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,170
- 7,665
daah ata mi sielew ase ata mim ni muhanga wa hyo second round
Deadline yenu ya kuapply 2nd round bado wapendwa msijali. Hata mwaka wetu ilikuwa ivo, bila shaka za kwenu itakuwa after tar 15
Anhaaaaa hapo nimekuelewa kaka thnakxx much
Deadline yenu ya kuapply 2nd round bado wapendwa msijali. Hata mwaka wetu ilikuwa ivo, bila shaka za kwenu itakuwa after tar 15