Ni kweli tume ya katiba itakuwa huru kwa kutowashirikisha wanasiasa na vyama vyao?

Ni kweli tume ya katiba itakuwa huru kwa kutowashirikisha wanasiasa na vyama vyao?

Dr-of-three-Phd

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
202
Reaction score
30
Ni kweli tume hiyo ya katiba itakuwa huru kwa kutoshirikisha serikali, wanasiasa na vyama vyao vya siasa?

Ni kweli hakutakuwa na mamruki wa kisiasa na vyama vyao?
 
Jk ni mwenyekiti wa ccm taifa!! Lakini anashangaa kwa nini yeye sio mwanasiasa katika katiba maana maoni anapewa yeye>>>>>
 
Back
Top Bottom