Dr-of-three-Phd JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 202 Reaction score 30 Apr 5, 2011 #1 Ni kweli tume hiyo ya katiba itakuwa huru kwa kutoshirikisha serikali, wanasiasa na vyama vyao vya siasa? Ni kweli hakutakuwa na mamruki wa kisiasa na vyama vyao?
Ni kweli tume hiyo ya katiba itakuwa huru kwa kutoshirikisha serikali, wanasiasa na vyama vyao vya siasa? Ni kweli hakutakuwa na mamruki wa kisiasa na vyama vyao?
D dotto JF-Expert Member Joined Sep 29, 2010 Posts 1,725 Reaction score 256 Apr 5, 2011 #2 Jk ni mwenyekiti wa ccm taifa!! Lakini anashangaa kwa nini yeye sio mwanasiasa katika katiba maana maoni anapewa yeye>>>>>
Jk ni mwenyekiti wa ccm taifa!! Lakini anashangaa kwa nini yeye sio mwanasiasa katika katiba maana maoni anapewa yeye>>>>>