GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Bahati mbaya GENTAMIYCINE nayajua Majina ya Makondakta kwa Herufi zao za mwanzo za Majina yao ya mwisho ( ubini ) pekee.
Ni Kondakta A, Kondakta K, Kondakta N, Kondakta K, Kondakta M, Kondakta N, Kondakta C, Kondakta S, Kondakta M na Kondakta A.
Kwa Nguvu Kubwa ya Ushawishi na hata Ubabe ( Umafia ) Dereva wa dharula wa TZ 1961 hana Ubavu wa ama Kuwabishia au Kuwakatalia lolote lile Makondakta hawa tajwa ambao kwa bahati nzuri wanalijua Gari vyema kuliko Yeye hivyo akina GENTAMYCINE kama ni Abiria tuvumilie tu mpaka akatubwage Korongoni Mtoni na baadae tukishapona kwa Majeraha huenda Akili zetu zitatukaa sawa ili Siku zingine tuwe makini na Madereva huku tukichukua muda wetu mwingi wa kutafuta Kondakta Mmoja tu anayeaminika na hawazi tu Kumdhulumu Pesa hata Dereva wake.