bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,796
Habari wana jamvi leo naomba kuulizia kama ni kweli Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kimejiandaa kikamilifu kupokea na kuandaa mashindano ya Vyuo Vikuu Afrika Mashariki na Kati , kwani nategemea kua kama kweli wamejiandaa basi watatumia fursa hiyo kuonyesha kua wao kweli ni UNIVERSITY OF STATE kwa kunyakua ushindi katika michezo kama FOOT BALL, HOOKEY, VOLLEY BALL, TENIS, GOLF, SWIMMING, ETC kama kweli wamejiandaa najua kila kitu kitakua safi kwa kifupi niwatakie kila la kheri UDSM katika mashindano hayo yatakaonza mwezi huu wa pili.
''University is place where people's minds are trained for clear thinking and for independent thinking'' Nyerere
''University is place where people's minds are trained for clear thinking and for independent thinking'' Nyerere