Ni KWELI UDSM WAMEJIANDAA NA MASHINDANO YA VYUO VIKUU AFRIKA MASHARIKI NA KATI?

bily

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
8,029
Reaction score
5,796
Habari wana jamvi leo naomba kuulizia kama ni kweli Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kimejiandaa kikamilifu kupokea na kuandaa mashindano ya Vyuo Vikuu Afrika Mashariki na Kati , kwani nategemea kua kama kweli wamejiandaa basi watatumia fursa hiyo kuonyesha kua wao kweli ni UNIVERSITY OF STATE kwa kunyakua ushindi katika michezo kama FOOT BALL, HOOKEY, VOLLEY BALL, TENIS, GOLF, SWIMMING, ETC kama kweli wamejiandaa najua kila kitu kitakua safi kwa kifupi niwatakie kila la kheri UDSM katika mashindano hayo yatakaonza mwezi huu wa pili.


''University is place where people's minds are trained for clear thinking and for independent thinking'' Nyerere
 
one of the footballer ,,ndugu nilikuwa nataman kucheza lkn baada ya kuona hawapo sirious nikaona bora nijiengue nifanye mitihan yangu ,reality hakuna maaandalizi hata kidogo kwa upande wa football bado na michezo mingine ndo cjaona maandaliz kabisa ila nimeona wanakarabat viwanja
 
Kahudhurie then utapata jibu, DUCE walikuwa na mechi ya kujipima jana kwa upande wa football.
 
Halo cdhani kama kuna maandalizi hapo tusitegemee tuzo kubaki UDSM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…