NI KWELI ? Ukipata mkopo baada ya kulipa ada,

NI KWELI ? Ukipata mkopo baada ya kulipa ada,

Ndengaso

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2014
Posts
7,831
Reaction score
14,259
je ada yako itarudishwa endapo utapata mkopo na ulishalipa ada ? Naomba msaada kwa watu wa udsm main campus...na vyuo vingine pia
 
Ngoja waanze wa UDIsM sie wa kwingine tutafuataaa
 
je ada yako itarudishwa endapo utapata mkopo na ulishalipa ada ? Naomba msaada kwa watu wa udsm main campus...na vyuo vingine pia

kwa udsm utarudishiwa ulichotoa. Ila fahamu kua hutafika chuo na ulipe ada kabla bodi ya mikopo haijatoa majina ya wanufaika mikopo.

Ni vyema ukafahamu kwamba ukiwa udsm, kama ukiwa ni miongoni mwa wanufaika wa mkopo, basi kwa kile kiaasi ambacho bodi wamekuahidi, wewe hutalipa chochote.

Kwa mfano, kama bodi watakulipia 1,000,000 wakati ada ni 1,300,000, basi wewe utahusika na 300,000.
 
kwa udsm utarudishiwa ulichotoa. Ila fahamu kua hutafika chuo na ulipe ada kabla bodi ya mikopo haijatoa majina ya wanufaika mikopo.
Ni vyema ukafahamu kwamba ukiwa udsm, kama ukiwa ni miongoni mwa wanufaika wa mkopo, basi kwa kile kiaasi ambacho bodi wamekuahidi, wewe hutalipa chochote. Kwa mfano, kama bodi watakulipia 1,000,000 wakati ada ni 1,300,000, basi wewe utahusika na 300,000.

poa poa , basi niwasubiri bodi mpaka tarehe 13
 
Udsm wameandika fees paid is not refunded wananipa wasiwasi
 
utalipia deni lako kwa bodi. just joking utarudishiwa.
 
kwaio mkuu wang majina ya wataopata mkopo yatatoka tarh 13 ?, msaada

sorry kwa sentensi tata namaanisha nawasubiria ao bodi mpaka tar 13 ndo siku yakuanza usajili kama watakua bado hawajatoa majina nikalipe ada mwenyewe na ndo maana nikauliza nikilipa na nikipata mkopo itarudishwa?

Wadau wamejibu ndio.
 
Back
Top Bottom