je ada yako itarudishwa endapo utapata mkopo na ulishalipa ada ? Naomba msaada kwa watu wa udsm main campus...na vyuo vingine pia
kwa udsm utarudishiwa ulichotoa. Ila fahamu kua hutafika chuo na ulipe ada kabla bodi ya mikopo haijatoa majina ya wanufaika mikopo.
Ni vyema ukafahamu kwamba ukiwa udsm, kama ukiwa ni miongoni mwa wanufaika wa mkopo, basi kwa kile kiaasi ambacho bodi wamekuahidi, wewe hutalipa chochote. Kwa mfano, kama bodi watakulipia 1,000,000 wakati ada ni 1,300,000, basi wewe utahusika na 300,000.
poa poa , basi niwasubiri bodi mpaka tarehe 13
kwaio mkuu wang majina ya wataopata mkopo yatatoka tarh 13 ?, msaada