Waspotembea na wewe wakatembea na mkeo shukuru Mungu. Siku izi wanatembea na wewe mwanaume..Wadada wananitongoza sana ikiwemo wake za watu, ila kuna mmoja huyo naona nitajitolea muhanga, mana ni mzuri kisha ananisumbua sana.
Tatizo moja tu, nasikia ukitembea na mke wa mtu na wako anafanyiwa, hicho ndio kinaniwazisha mana nina wivu sana, je wadau ni kweli au nitimishe matamanio ya nafsi yangu na yake pia? Wao ndio wananitaka wenyewe
Wadada wananitongoza sana ikiwemo wake za watu
🎶 Mke wa mtu tu tu tu tu SUMU... 🥱Wadada wananitongoza sana ikiwemo wake za watu, ila kuna mmoja huyo naona nitajitolea muhanga, mana ni mzuri kisha ananisumbua sana.
Tatizo moja tu, nasikia ukitembea na mke wa mtu na wako anafanyiwa, hicho ndio kinaniwazisha mana nina wivu sana, je wadau ni kweli au nitimishe matamanio ya nafsi yangu na yake pia? Wao ndio wananitaka wenyewe
Ni kweli ukitembea na mke wa mtu na wewe wakwako wanatembea nae?
Mhmm ushauri kwa papai ni kupoteza mda tunimependa swali lako, wengi yalio wakuta hawatasema ukweli... nasema wa humu 😂
wapo watasema pia wewe ndio utakuwa mlo... hili nimesoma sana humu so jiongeze...
Tatizo wanaume wengi mnaenda kula vya watu, wake zenu wakijua nao wanaenda kupeleka kimya kimya kismati na wala hamtakaa muwafume asilimia kubwa yao.
hivyo jibu unalo nalotaka.. ukibisha oyoooo kila la kheri...
haya fasta peleka hisia kwa mkeo uone yale hujawahi pewa kivingine ufaidi.
Sio wa kwako atafanyiwa NI WEWE MWENYEWE😎Wadada wananitongoza sana ikiwemo wake za watu, ila kuna mmoja huyo naona nitajitolea muhanga, mana ni mzuri kisha ananisumbua sana.
Tatizo moja tu, nasikia ukitembea na mke wa mtu na wako anafanyiwa, hicho ndio kinaniwazisha mana nina wivu sana, je wadau ni kweli au nitimishe matamanio ya nafsi yangu na yake pia? Wao ndio wananitaka wenyewe
Bibi yangu hutaki au 🤣🤣🤣🤣, tena kasema wabibi kama wewe ndo mnamtaka kijana wa watu
Hahah sawa mkuu🎶 Mke wa mtu tu tu tu tu SUMU... 🥱
Kwenye Jambo la mtu tu tu tu tu tu kaa mbali
Aah aah aah aah kuna jela.. 🎵
Nikikukamata 🤣🤣Bibi yangu hutaki au 🤣🤣🤣🤣, tena kasema wabibi kama wewe ndo mnamtaka kijana wa watu
Mbona wabibi wanakuwaga wapoleeeeee sana
Hili ndiyo la msingi..We piga pumb.u
Acha wenge