Ni kweli usipofanya mapenzi muda mrefu kwa mwanaume unahatari zaidi ya kuumwa mafua makali?

wadau wa humu ivi ni kweli usipo gegedua mda mrefu unaumwa mafua makali, kuna jamaa apa mtaani ana leta iyo anasema fact............swali je ni kweli
Aisee inawezekana maana sikai week bila mafua,kama leo usiseme ,,,maana yaenda miezi 8 sijagegeda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…