MTAMBOKITAMBO
Senior Member
- Jun 2, 2011
- 194
- 39
Habari wadau wa JF!
Hivi jamani,bila kupiga porojo za uongo na kweli kwa mwanamke,unaweza kumpata kiurahisi kweli bila kupigwa calendar?
Maana hawa dada zetu wanadai sisi wanaume ni waongo sana,sasa nauliza,bila uongo inawezekana?
Yani bila hata ya kudanganya ule uongo wa "Zamani nilikuwa nacheza sana Basketball..."
Kuna mtu anayevutiwa na LOSER kweli!?
CHEERS!
Kama kuna mwanamke hajawahi kudanganywa ki-mapenzi basi huyo atakuwa ni Bikra!
sisi wenyewe tunajua kwamba siku hizi lazima mtuzingue.so hata kama mwaka ntakusubili tu coz nia ni moja tu kukupata.tunawajua.MIAteeehhhh hata mimi niliwahi kuingizwa mitini mmmhhhmaana kuna wengine sio waongo bali ni walimu wa uongo ..( professional)mtu anakwambia kitu kajitayarishampaka na evidence anazo kula legi..ndio maana sasa mwanaume akiniambia kituinachukua muda ku mwamini..
sisi wenyewe tunajua kwamba siku hizi lazima mtuzingue.so hata kama mwaka ntakusubili tu coz nia ni moja tu kukupata.tunawajua.MIA
kweli inanishangaza sana
jinsi mwanaume atakavyotoka
out of his comfort zone kukudanganya
mpaka unaamini... yamenikuta mpka leo
najiuliza hivi ilitokeaje tokeaje.. mmmmhh
kuna watu wamezawadia zawadi ya uongo kwa kweli