BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
Kama kuna mwanamke hajawahi kudanganywa ki-mapenzi basi huyo atakuwa ni Bikra!
siku zote msichana hana ujanja kwa mwanaume,anakua hajampata wa damu yake inayompenda.siyo wewe tu wapo wengi hadi walio ndani ya ndoa ndo kabisaa wanadanganyika.tunaishi nanyi kwa akili.MIAkweli inanishangaza sana jinsi mwanaume atakavyotokaout of his comfort zone kukudanganyampaka unaamini... yamenikuta mpka leonajiuliza hivi ilitokeaje tokeaje.. mmmmhhkuna watu wamezawadia zawadi ya uongo kwa kweli
Swali ni hili... kwanini umdanganyeMsichana ambaye unatarajia kuwa Naye maishani??? Maana akigundua Ukweli kila kitu kimeyeyuka..siku zote msichana hana ujanja kwa mwanaume,anakua hajampata wa damu yake inayompenda.siyo wewe tu wapo wengi hadi walio ndani ya ndoa ndo kabisaa wanadanganyika.tunaishi nanyi kwa akili.MIA
i had this friend of mine J--U,when he approaches a girl,sisi tunakimbia maana aibu tunaona sisi,anaongopa wazi wazi but at the end the girl succumbs sisi tunabaki kushangaa.what astounded us ni kwamba jamaa lilikuwa linaingia wanawake top draw-na lord have mercy alikuwa anawa change kama nguo
mimi nasema TOP DRAW au shelf la juu wewe unawaita washamba-mwanamke mshamba sisi tusingeshanghaa wala tusingekimbia-au unakuwa playahaterI know him, ndiyo zake yule!..anawatokea washamba tu ndiyo tatizo lake, he he
i had this friend of mine J--U,when he approaches a girl,sisi tunakimbia maana aibu tunaona sisi,anaongopa wazi wazi but at the end the girl succumbs sisi tunabaki kushangaa.what astounded us ni kwamba jamaa lilikuwa linaingia wanawake top draw-na lord have mercy alikuwa anawa change kama nguo
mimi nasema TOP DRAW au shelf la juu wewe unawaita washamba-mwanamke mshamba sisi tusingeshanghaa wala tusingekimbia-au unakuwa playahater
Excellent!!!!!!!!!Heri kuwa mkweli ili akikukataa unajua kabisa hakupendi,maana anaweza akakupenda kwa uwongo wako na baadaye akigundua anakuacha,ila kama umemweleza ukweli na akakubali na kukupenda basi sio rahisi kukuacha kirahisi maana anajua situation yako.
Pia kumdanganya mtu ni kucheza na feelings zako,unaposema uongo na mtu akaamini na kujenga imani yake kwenye uongo ni kuchezea feelings zake,maana kila mtu anasababu za kumpenda mwingine,we ukijibambikia sifa zingine ambazo huna na akakupenda kwa sababu hizo basi we utakuwa umemchezea feelings mtu ambaye amekuwa mkweli kwako.