johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kutumia nguvu maana yake nini?Kwa sababu CCM ni chama Tawala basi UVCCM wameona silaha yao Kuu ni Nguvu na Vitisho badala ya kujenga hoja
Hii hali ilishalalamikiwa na Mzee Kikwete, hayati Magufuli na sasa Rais Samia amelisemea tena
Niwakumbushe tu UVCCM zama za Maguvu zimepitwa na wakati ndio unaona Mgambo Wachache sana wa Hamas wameisumbua Dunia hadi Baba la Miguvu USA anaomba poo
Jifunzeni kujenga Hoja zenye mashiko zinazosindikizwa na Takwimu kama ilivyokuwa inafanya Bavicha ya Zitto Kabwe na Mnyika hadi ikapendwa Dunia nzima
Mungu wa Mbinguni wafanyie Wepesi UVCCM
Siku zote binadamu hutumia kile alicho nacho. Vijana wengi waliopo CCM ni wale ambao wana uwezo mdogo wa akili na maarifa. Wanaingia UVCCM kama jitihada ya kuziba mapengo ya michwani. Muwataka wafanye zaidi ya wanavyofanya ni kuwaonea, ni sawa na kumtaka konokono aruke hewani.Kwa sababu CCM ni chama Tawala basi UVCCM wameona silaha yao Kuu ni Nguvu na Vitisho badala ya kujenga hoja
Hii hali ilishalalamikiwa na Mzee Kikwete, hayati Magufuli na sasa Rais Samia amelisemea tena
Niwakumbushe tu UVCCM zama za Maguvu zimepitwa na wakati ndio unaona Mgambo Wachache sana wa Hamas wameisumbua Dunia hadi Baba la Miguvu USA anaomba poo
Jifunzeni kujenga Hoja zenye mashiko zinazosindikizwa na Takwimu kama ilivyokuwa inafanya Bavicha ya Zitto Kabwe na Mnyika hadi ikapendwa Dunia nzima
Mungu wa Mbinguni wafanyie Wepesi UVCCM
kwahiyo unataka kusema nyumbu wana hoja, right 😅Kwa sababu CCM ni chama Tawala basi UVCCM wameona silaha yao Kuu ni Nguvu na Vitisho badala ya kujenga hoja