Ni kweli vidonda vya tumbo hupimwa kwenye damu?

Ni kweli vidonda vya tumbo hupimwa kwenye damu?

jerry joshy

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
402
Reaction score
504
Habari wana jf naombeni mnisaide kupata ufumbuzi wa hili swala hivi ni kweli vidonda vya tumbo vinapimwa kama HIV inavyopimwa?

Na je kama ukitolewa damu kwa ajili ya vipimo vya vidonda vya tumbo vinaweza kuonyesha pia kama mgojwa ana maambukuzi ya HIV?
 
ndio mkuu unaweza kutumia serum/plasma(fluid part of blood) ili kupima vidonda vya tumbo, pia unaweza kutumia hiyo hiyo fluid part kupima HIV
 
Back
Top Bottom