Habari wana jf naombeni mnisaide kupata ufumbuzi wa hili swala hivi ni kweli vidonda vya tumbo vinapimwa kama HIV inavyopimwa?
Na je kama ukitolewa damu kwa ajili ya vipimo vya vidonda vya tumbo vinaweza kuonyesha pia kama mgojwa ana maambukuzi ya HIV?