mtungu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2021
- 270
- 435
Utasikia wazee au watu wazima wakisema vya zamani ni bora kuliko vya sasa hivi, ina mana magari ya zamani ni bora kuliko ya sasa hivi, redio zao zilikua bora kuliko masabufa ya sasa hivi; nguo zao zilikua bora kuliko za sasa hivi; tv viatu simu na vinginevyo au wanatutia kamba?
Hata mademu wa sasa hivi ni wazuri kuliko wa zamani sema tu wa zamani walikua na tabia nzuri kuliko wa sasa hivi.
Hata mademu wa sasa hivi ni wazuri kuliko wa zamani sema tu wa zamani walikua na tabia nzuri kuliko wa sasa hivi.