Kuna uthibitisho wowote wa Kihistoria unaothibitisha kwamba, kuna wakati ambao Mwafrika hakuwa Mnyonge na kwamba aliwahi kuwa juu kimaendeleo dhidi ya Watu wa Jamii nyingine Duniani.?
Mkuu ngoja nijaribu kukushawishi then twende pamoja.
- Kwanza sielewi unyonge unaouzungumzia ni upi?
- pili maendeleo ya namna gani?
back to topic:
Ushahidi wa kihistoria unaothibitisha kuwa mwafrika hakuwa mnyonge ni kuwa kwanza uelewe mwafrika alikua na mila, desturi na utamaduni wake ambao ndio ulimuongoza kwa wakati huo, sio kwamba mwafrika alikuwa stasic hapana ila tunajua kwamba jamii za afrika zilikuwa zikihama toka stage moja kwenda kwenda nyingine kimaendeleo, kwakua mwafrika alikuwa akijishisha na hunting and gathering. through this activities they obtain food. The basic tools used by early man were made from wood, bones and stones,they easily obtained from their natural surrounding, from this resources they were able to make arrows, bows used during their hunting and gathering processes.
Ifahamike kwamba hunting and gathering societies commenced since the biggining of human kind and we know Africa is the birthplace of humanity and the only continent that has evidence of the early evolution of humans. rejea: Olduvai Gorge, Laetoli,Lake Turkana, Hadar and Omo valley, etc.
sasa basi maisha ya huyu mwafrika kwa ujumla wake yalikuwa ni historia, tunaona namna jamii za wakati huo zilikuwa zikiishi kwa kuhamahama, lakini pia walivaa magome ya miti, walizungumza kwa ishara, na maisha yao yalitegemea kuwinda na kuokota matunda pori hii peke yake ni ushahidi wa kihistoria, tunaona hadi sasa zipo jamii ambazo zinaishi ivo kama Hadzabe, Tindiga, Sandawe, Bumbuti, Pygmies, Khoisan and Ju'/hoans people.
Lakini linapo kuja suala la maendeleo .
Maendeleo ni kitendo cha kutoka hatua moja kwenda nyingine, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, nk.
Tukirudi Afrika tunaona kuwa katika kipindi kile:
- mwafrika kwanza alikuwa akitumia simple tools katika shughuli zake, pia aliweza kugundua chuma (Neolithic revolution) hii ilimsadia kuweza kufanya kazi kwa urahisi.
- Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi jamii nyingi zilibadili mfumo wa maisha, mfano Tindiga, sandawe, hadzabe walianza kufuga pia
- Pia jamii hizi zilikuwa na mifumo ya kiutawala(political organization) hii ilitokana na kuongezeka kwa watu hali iliyopelekea formation of state.
- Jamii hizi ziliachana na kuwasiliana kwa ishara na kuanza kuzungumza kwa sauti, hii ilitokana na muingiliano na ushirikiano baina ya jamii moja na nyingine, but within Africa.
Sasa basi ni ukweli usio pingika kuwa mwafrika alikuwa na historia yake na alidevelop over time and space, Alikuwa na local industries(handcraft industries), tulikuwa na Iron smelting, Salt making etc, lakini vitu vyote hivi alikuja kuviua mzungu.
Historia ya mwafrika iliharibiwa na mzungu hasa baada ya
Charles Darwin (1809-1882) na
Alfred Russell Walless kuja na theory ya
ORGANIC EVOLUTION hii iliwapa shida sana white people kukubali kwamba binadamu wa kwanza alitokea afrika, theory hii iliwakara sana kwanza kwa kuona inapingana na biblia kuwa binadam hakuumbwa ila alitokea Afrika in form of ape, kutokana na ubaguzi wa rangi na kuona wao ni kila kitu hapo ndio walipokazana kueneza
CREATION THEORY na kumuweka mwafrika kuwa kiumbe duni.
Nimejaribu.
cc: Yericko Nyerere, mtzmweusi, hoshea, Ubwabwaz and other historians.