Historia tunayoisoma na kuifahamu kwa sasa imepotoshwa sana, kuna uwezekano mkubwa tu kuwa waafrika katika wakati fulani walikuwa superior kuliko hao wengine.
Historia yetu imefunikwa sana na hawa waliokuja kututawala, wamebadilisha mambo mengi ili tujione tu wanyonge.
Mkuu ngoja nijaribu kukushawishi then twende pamoja.
back to topic:
- Kwanza sielewi unyonge unaouzungumzia ni upi?
- pili maendeleo ya namna gani?
Ushahidi wa kihistoria unaothibitisha kuwa mwafrika hakuwa mnyonge ni kuwa kwanza uelewe mwafrika alikua na mila, desturi na utamaduni wake ambao ndio ulimuongoza kwa wakati huo, sio kwamba mwafrika alikuwa stasic hapana ila tunajua kwamba jamii za afrika zilikuwa zikihama toka stage moja kwenda kwenda nyingine kimaendeleo, kwakua mwafrika alikuwa akijishisha na hunting and gathering. through this activities they obtain food. The basic tools used by early man were made from wood, bones and stones,they easily obtained from their natural surrounding, from this resources they were able to make arrows, bows used during their hunting and gathering processes.
Ifahamike kwamba hunting and gathering societies commenced since the biggining of human kind and we know Africa is the birthplace of humanity and the only continent that has evidence of the early evolution of humans. rejea: Olduvai Gorge, Laetoli,Lake Turkana, Hadar and Omo valley, etc.
sasa basi maisha ya huyu mwafrika kwa ujumla wake yalikuwa ni historia, tunaona namna jamii za wakati huo zilikuwa zikiishi kwa kuhamahama, lakini pia walivaa magome ya miti, walizungumza kwa ishara, na maisha yao yalitegemea kuwinda na kuokota matunda pori hii peke yake ni ushahidi wa kihistoria, tunaona hadi sasa zipo jamii ambazo zinaishi ivo kama Hadzabe, Tindiga, Sandawe, Bumbuti, Pygmies, Khoisan and Ju'/hoans people.
Lakini linapo kuja suala la maendeleo .
Maendeleo ni kitendo cha kutoka hatua moja kwenda nyingine, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, nk.
Tukirudi Afrika tunaona kuwa katika kipindi kile:
- mwafrika kwanza alikuwa akitumia simple tools katika shughuli zake, pia aliweza kugundua chuma (Neolithic revolution) hii ilimsadia kuweza kufanya kazi kwa urahisi.
- Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi jamii nyingi zilibadili mfumo wa maisha, mfano Tindiga, sandawe, hadzabe walianza kufuga pia
- Pia jamii hizi zilikuwa na mifumo ya kiutawala(political organization) hii ilitokana na kuongezeka kwa watu hali iliyopelekea formation of state.
- Jamii hizi ziliachana na kuwasiliana kwa ishara na kuanza kuzungumza kwa sauti, hii ilitokana na muingiliano na ushirikiano baina ya jamii moja na nyingine, but within Africa.
Sasa basi ni ukweli usio pingika kuwa mwafrika alikuwa na historia yake na alidevelop over time and space, Alikuwa na local industries(handcraft industries), tulikuwa na Iron smelting, Salt making etc, lakini vitu vyote hivi alikuja kuviua mzungu.
Historia ya mwafrika iliharibiwa na mzungu hasa baada ya Charles Darwin (1809-1882) na Alfred Russell Walless kuja na theory ya ORGANIC EVOLUTION hii iliwapa shida sana white people kukubali kwamba binadamu wa kwanza alitokea afrika, theory hii iliwakara sana kwanza kwa kuona inapingana na biblia kuwa binadam hakuumbwa ila alitokea Afrika in form of ape, kutokana na ubaguzi wa rangi na kuona wao ni kila kitu hapo ndio walipokazana kueneza CREATION THEORY na kumuweka mwafrika kuwa kiumbe duni.
Nimejaribu.
cc: Yericko Nyerere, mtzmweusi, hoshea, Ubwabwaz and other historians.
Historia haidanganyi kaka u superior ktk lipi?
Kama ndivyo why tulibaki nyuma kiteknolojia?
Ni kama vile fumbo la imani, kwa wale waamini wa kristu wataungana na mimi kuwa habari za Mungu na uumbwaji wa dunia zilikuja kuandikwa na Musa, na Musa aliziandika kama vile aliziishi ijapokuwa karma ya kiroho inasema Musa alikuwa mbeba kizazi yani kizazi cha Musa kikaishi miaka 2000, Kikaja kizazi cha Eliya Mtishibi nacho kikaishi miaka 2000, Kikaja kizazi cha Yesu nacho kimeishi miaka 2000, sasa kwamjibu wa karma ya kiroho nikuwa Mungu mwenyewe ameshuka kukiongoza kizazi hiki tunacho ishi mimi na wewe,
Vivyo hivyo kwa upande wa binadamu wa kiafrika habari zake na uumbwaji wake zimekuwa zikitoka kwa binadamu weupe wazungu, kanakwamba wao waliyaishi maisha ya mwafrika huyu.
Je, nikweli kwamba, hapo zamani za kale Waafrika hatukuwa na Historia; na kwamba Historia yetu ilianzia baada ya kuja kwa Watu Weupe wazungu
Na iwapo suala hili jawabu lake ni hapana, kuna uthibitisho wowote wa Kihistoria unaothibitisha kwamba, kuna wakati ambao Mwafrika hakuwa Mnyonge na kwamba aliwahi kuwa juu kimaendeleo dhidi ya Watu wa Jamii nyingine Duniani.?
VemaSoma hapa: realhistoryww.com
Panakuhusu sana
Historia imeweza kuendelezwa na ufahamu wa kusoma na kuandika. Waingereza hawana historia kabla ya kutawaliwa na Warumi, na katika utawala wa warumi historia inaonyesha maisha yao walivyowatawala Waingereza kwasababu Warumi walijua kusoma na kuandika muda mrefu. Babu zetu wangetuachia urithi mzuri wa historia kama wangeweza kuiandika.

safiiiMkuu ngoja nijaribu kukushawishi then twende pamoja.
back to topic:
- Kwanza sielewi unyonge unaouzungumzia ni upi?
- pili maendeleo ya namna gani?
Ushahidi wa kihistoria unaothibitisha kuwa mwafrika hakuwa mnyonge ni kuwa kwanza uelewe mwafrika alikua na mila, desturi na utamaduni wake ambao ndio ulimuongoza kwa wakati huo, sio kwamba mwafrika alikuwa stasic hapana ila tunajua kwamba jamii za afrika zilikuwa zikihama toka stage moja kwenda kwenda nyingine kimaendeleo, kwakua mwafrika alikuwa akijishisha na hunting and gathering. through this activities they obtain food. The basic tools used by early man were made from wood, bones and stones,they easily obtained from their natural surrounding, from this resources they were able to make arrows, bows used during their hunting and gathering processes.
Ifahamike kwamba hunting and gathering societies commenced since the biggining of human kind and we know Africa is the birthplace of humanity and the only continent that has evidence of the early evolution of humans. rejea: Olduvai Gorge, Laetoli,Lake Turkana, Hadar and Omo valley, etc.
sasa basi maisha ya huyu mwafrika kwa ujumla wake yalikuwa ni historia, tunaona namna jamii za wakati huo zilikuwa zikiishi kwa kuhamahama, lakini pia walivaa magome ya miti, walizungumza kwa ishara, na maisha yao yalitegemea kuwinda na kuokota matunda pori hii peke yake ni ushahidi wa kihistoria, tunaona hadi sasa zipo jamii ambazo zinaishi ivo kama Hadzabe, Tindiga, Sandawe, Bumbuti, Pygmies, Khoisan and Ju'/hoans people.
Lakini linapo kuja suala la maendeleo .
Maendeleo ni kitendo cha kutoka hatua moja kwenda nyingine, kiuchumi, kiutamaduni, kisiasa, nk.
Tukirudi Afrika tunaona kuwa katika kipindi kile:
- mwafrika kwanza alikuwa akitumia simple tools katika shughuli zake, pia aliweza kugundua chuma (Neolithic revolution) hii ilimsadia kuweza kufanya kazi kwa urahisi.
- Kutokana na mabadiliko ya tabia nchi jamii nyingi zilibadili mfumo wa maisha, mfano Tindiga, sandawe, hadzabe walianza kufuga pia
- Pia jamii hizi zilikuwa na mifumo ya kiutawala(political organization) hii ilitokana na kuongezeka kwa watu hali iliyopelekea formation of state.
- Jamii hizi ziliachana na kuwasiliana kwa ishara na kuanza kuzungumza kwa sauti, hii ilitokana na muingiliano na ushirikiano baina ya jamii moja na nyingine, but within Africa.
Sasa basi ni ukweli usio pingika kuwa mwafrika alikuwa na historia yake na alidevelop over time and space, Alikuwa na local industries(handcraft industries), tulikuwa na Iron smelting, Salt making etc, lakini vitu vyote hivi alikuja kuviua mzungu.
Historia ya mwafrika iliharibiwa na mzungu hasa baada ya Charles Darwin (1809-1882) na Alfred Russell Walless kuja na theory ya ORGANIC EVOLUTION hii iliwapa shida sana white people kukubali kwamba binadamu wa kwanza alitokea afrika, theory hii iliwakara sana kwanza kwa kuona inapingana na biblia kuwa binadam hakuumbwa ila alitokea Afrika in form of ape, kutokana na ubaguzi wa rangi na kuona wao ni kila kitu hapo ndio walipokazana kueneza CREATION THEORY na kumuweka mwafrika kuwa kiumbe duni.
Nimejaribu.
cc: Yericko Nyerere, mtzmweusi, hoshea, Ubwabwaz and other historians.
Sam97,safiii
Kama Nimrod alikuwa mweusi basi inawezekana kuwa kijakazi wake ambaye ni Terah alikuwa pia mweusi hivyo basi Abrahamu pia alikuwa mtu mweusi.Kuna mtu aliitwa Nimrod kitika Ukaridayo ya kale leo hii Iraq, huyu alikuwa mweusi na ndio aliitawala dunia na ndie aliongoza katika kipindi cha ujenzi wa mnara wa babel. Naweza kushawishika kuungana na wewe mkuu
Kweli kabisa mkuu, migratory paterns za watu weusi zinadhihirisha tulitoka nchi za kaskazini mwa africa(Egypt) au kwa jina la kitambo Kemet kuhepa vita.Historia tunayoisoma na kuifahamu kwa sasa imepotoshwa sana, kuna uwezekano mkubwa tu kuwa waafrika katika wakati fulani walikuwa superior kuliko hao wengine.
Nashukuru sana mkuu, ujumbe wako umefikaBwana Yericko umenigusa sana na leo nimeamua kufunguka na ninaomba Mungu sana Mh Waziri wa elimu na taasisi ya ukuzaji mitaala Tanzania isome hii comment yangu! au kama kuna mwanajamvi anaweza kuwafikishia ujumbe huu nitashukuru sana, ni hivi, mimi ni mwalimu ( nina diploma ya ualimu na nimefundisha somo la historia kwa shule kadhaa za sekondari O and A level kwa miaka kadhaa na nina BA ya Mlimani na Masters ya Social Welfare ya ulaya! na ninaishi ulaya miaka kadhaa now! iko hivi huku ulaya hawasomi kuhusu historia ya Afrika kwenye level za chini ni hadi ufike University ndo unaanza kusoma habari za Afrika! kuna wazee wa kizungu ukiwaambia unatoka Tanzania wanakuuliza hiyo nchi iko wapi! ninapenda sana kuanzisha mjadala wa kufuta Topics mbili za somo la historia kwa shule za msingi na za sekondari! ninapendekeza Topics za Slave Trade na Colonialism zifutwe kwenye mtaala wa shule za msingi na sekondari Tanzania. Hizi topics ni miongoni mwa topics zinazoendeleza unyonge wa Mwafrika na kufuta historia ya Afrika , mila na desturi zetu! hizi topics zinamfanya mtoto mdogo kukua akijua wazungu na waarabu ni bora kuliko waafrika na kumfanya kutamani kila kitu cha ulaya! hizi topics zinashusha thamani ya mwafrika na kumfanya kuabudu ulaya! ni topics zinazobeba sehemu kubwa ya somo la historia na kupoteza ufundishwaji wa historia yetu kama nchi na makabila yetu na sayansi yetu na civilization ya mwafrika! ukweli ni kuwa kuna wazungu omba omba huku ulaya wengi tu, na wanaomba kila mtu anaepita njia hata mwafrika! ukweli wakati umefika sasa tunahitaji kuwafundisha watoto wadogo mashuleni mila na desturi zetu na hayo ya slave trade na colonialism wakasome University wakiwa matured! ni hayo tu! naomba kuwasilisha!