Technician
JF-Expert Member
- Mar 30, 2010
- 841
- 222
Kutokana na Muongozo wa Mh Lusinde kuwa ni wakati muafaka wa
kuwapima wabunge wetu,kutokana na hali inayojitokeza bungeni kwa kipindi hiki
ni wazi kuwa wabunge ni wengi ambao ni wagonjwa na wengi walishaenda
kwa Babu Loliondo kunywa kikombe lakini bado wanaonekana wanasinzia
bungeni.
Naunga mkono hoja wabunge wote na mwaziri wapimwe afya zao kabla
hatujashuhudia ngumi mjengoni na wakaumia wagonjwa bila sababu.
Nawasilisha;