Kuna mzee alikuwa akinunua mkate mdogo na maji ya supu asubuhi, mchana wali harage na usiku maji tu. Huyu mzee sasahivi tajiri sana najaribu kukopi maisha yake alopitia nashindwa kwa uroho🤣Wao wanakwambia bila kuwa bahili hawawezi kufahanikiwa. Nimesikia wakisema hata tajiri kama MO anashindia pepsi moja na chocolate bscs 2, hata wiki mbili au tatu.
Kwa uroho wako huo, ukijaribu tunaweza kukupoteza kabisa.Kuna mzee alikuwa akinunua mkate mdogo na maji ya supu asubuhi, mchana wali harage na usiku maji tu. Huyu mzee sasahivi tajiri sana najaribu kukopi maisha yake alopitia nashindwa kwa uroho🤣
Na badoKwa jinsi navyochukulia huwa naona makampuni haya yana pesa nyingi kwasababu huwa wanafaidika kupitia marejesho kausha damu na mtu asipolipa wanachukua assets zenye thamani kubwa zilizowekewa dhamana.
Leo nimesikia kwamba wafanyakazi wao wengi wana hali za kawaida/ chini kiuchumi
Kuna ukweli?
Utajiri una maana gani sasa kama wanaishi katika huo ujingaWao wanakwambia bila kuwa bahili hawawezi kufahanikiwa. Nimesikia wakisema hata tajiri kama MO anashindia pepsi moja na chocolate bscs 2, hata wiki mbili au tatu.