MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Kuna mwalimu mmoja rafiki yangu (ke),ana dread nzuri sana ni ndefu na zinang'aa lakini anafunga kilemba anapoenda kazini na akirudi hukitoa.
Mwanzo nilidhani labda ni style kaamua lakini baada ya kumuuliza akaniambia serikali haiwaruhusu.
Swali langu ni kwamba: kwanini wanazuiwa wakati ni nywele halisi inamaana wanatukuza mawigi yaani Watumishi wakijipiga mikorogo hawaongei lkn rasta ndo wanaona dhambi???[emoji21]
Sent using Jamii Forums mobile app