MwanawaMUNGU41
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 1,036
- 737
Kuna mwalimu mmoja rafiki yangu (ke),ana dread nzuri sana ni ndefu na zinang'aa lkn anafunga kilemba anapoenda kazini na akirudi hukitoa.Mwanzo nilidhani labda ni style kaamua lkn baada ya kumuuliza akaniambia serikali haiwaruhusu.
Swali langu ni kwamba: kwanini wanazuiwa wakati ni nywele halisi inamaana wanatukuza mawigi yaani Watumishi wakijipiga mikorogo hawaongei lkn rasta ndo wanaona dhambi???[emoji21]
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa inabidi wenye dini ya urastafari tukalidai hili suala mahakamani. rasta ni sunna kwetu.Wanawake ruksa dreads ila wanaume noooo!
Lengo ilikuwa ni kulinda heshima za watu, mwanamke mfupi akiweka dread na ukamwangalia kutokea umbali, utadhani ni nanasi.Kuna mwalimu mmoja rafiki yangu (ke),ana dread nzuri sana ni ndefu na zinang'aa lakini anafunga kilemba anapoenda kazini na akirudi hukitoa.
Mwanzo nilidhani labda ni style kaamua lakini baada ya kumuuliza akaniambia serikali haiwaruhusu.
Swali langu ni kwamba: kwanini wanazuiwa wakati ni nywele halisi inamaana wanatukuza mawigi yaani Watumishi wakijipiga mikorogo hawaongei lkn rasta ndo wanaona dhambi???[emoji21]
Sent using Jamii Forums mobile app
duh naon dem wako mfupi amekuachaLengo ilikuwa ni kulinda heshima za watu, mwanamke mfupi akiweka dread na ukamwangalia kutokea umbali, utadhani ni nanasi.
Usiende kufanya kazi serikalinihapa inabidi wenye dini ya urastafari tukalidai hili suala mahakamani. rasta ni sunna kwetu.