Ni kweli wahamiaji wanakula paka na mbwa wa wenyeji Marekani?

Ni kweli wahamiaji wanakula paka na mbwa wa wenyeji Marekani?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani.

Je tuhuma hizi ni za kweli?

20240911_132156.jpg
 
Nimeona Clip moja ya Paka kabanikwa, amenyonyolewa vizuri, chini yake inasema ni kitoweo cha kawaida huko Port au Prince Haiti. sijui kama ni kweli si unajua mitandaoni kuna uongo mwingi.
 
Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani.

Je tuhuma hizi ni za kweli?

View attachment 3093170
Kauli ya Trump niyakutaka tension kwenye media (kujadiliwa), au tayari anayo changamoto ya afya ya akili. Hakuna uhalisia wa wageni kuwinda mbwa, paka n.k. wa wenyeji ukizingatia Marekani sio nchi ya kiujamaa, sio kama mataifa yetu ambayo utaenda kukaa kwa jirani mnapiga soga. Marekani hakuna kukosea nyumba kama huku Tanzania, kama umewahi kusikia taarifa ambayo iliripotiwa aidha mwishoni mwa mwaka 2023 au mwanzoni mwa mwaka 2024 ambapo kijana mmoja (aliyekosea namba ya nyumba) alipigwa risasi akapoteza maisha kwa kudhaniwa ni mwizi.

Hivyo, madai ya Donard Trump sio kweli bali yamkini ni kutaka kuzungumzwa au kujadiliwa kimataifa. Au tayari ameshapatwa na changamoto ya afya ya akili kulingana na matukio yaliyompata.
 
Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani.

Je tuhuma hizi ni za kweli?

View attachment 3093170
Waislam wanakimbilia America then wanaishia kula mbwa na paka wa wenyeji wanafikiri ni kondoo. Njaa mbaya sana
 
Back
Top Bottom