Kwanza mwanadamu ni Omnivora, kwa hiyo akila paka sio jambo la kushangaa. Labda kama ina symbolize kuwa maisha yamewabana.Prof Janabi wa JF hakosi hapo.....
Maneno ya wahenga hayaendi bure mkuu!!View attachment 3093543
Huyu ndio ithibati ya mganga hajigangi.
Kauli ya Trump niyakutaka tension kwenye media (kujadiliwa), au tayari anayo changamoto ya afya ya akili. Hakuna uhalisia wa wageni kuwinda mbwa, paka n.k. wa wenyeji ukizingatia Marekani sio nchi ya kiujamaa, sio kama mataifa yetu ambayo utaenda kukaa kwa jirani mnapiga soga. Marekani hakuna kukosea nyumba kama huku Tanzania, kama umewahi kusikia taarifa ambayo iliripotiwa aidha mwishoni mwa mwaka 2023 au mwanzoni mwa mwaka 2024 ambapo kijana mmoja (aliyekosea namba ya nyumba) alipigwa risasi akapoteza maisha kwa kudhaniwa ni mwizi.Mojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani.
Je tuhuma hizi ni za kweli?
View attachment 3093170
Waislam wanakimbilia America then wanaishia kula mbwa na paka wa wenyeji wanafikiri ni kondoo. Njaa mbaya sanaMojawapo ya mjadala mkubwa jana katika mdahalo wa wagombea urais wa Marekani ni tuhuma za Donald Trump ambazo zinaungwa mkono na wanachama wengi wa Republicans kwamba wahamiaji wanawinda/wanaiba na kula pets(paka, mbwa na bata wa urembo) wa wenyeji huko Marekani.
Je tuhuma hizi ni za kweli?
View attachment 3093170