GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Bei nzuri?Soko
Mfano?Sytem au mfumo tu hakuna kingine..!!?
Bei nzuri ndomana watu wanaopt kupeleka hukoBei nzuri?
Malipo ya papo kwa hapo?
Jiulize kwanini watu wanapeleka kahawa kimagendo huko UgandaBei nzuri?
Malipo ya papo kwa hapo?
Na mimi ndiyo nataka kufahamu, kwa sababu, kwa Jiografia ya Uganda na Tanzania, ni Waganda ndiyo walipaswa wawe wanakuja kuiuza kahawa yao Tanzania. Lakini pamoja na kwamba wao hawakatazwi kuileta Tanzania, hawafanyi hivyo.Na sijawahi kusikia wala kuona kahawa inaingizwa kimagendo kutoka Uganda kuja tanzania kuuza
Ova