jini makata
Member
- Jun 7, 2017
- 66
- 35
Eti mkurugenzi anasema mpaka wamalize syllabus..Jamani nimesikia habari kwa baadhi ya walimu wa lushoto mara hii mkurugenzi wa wilaya hiyo amezuia likizo na walimu wanaendelea kufundisha kama kawaida mpaka tar 23/6/2017 ndio wafunge na watafungua kama tar 3/6/2017 kama mashule na ratiba ya taifa inavyosema.
Dah poleni sana kaka ila ni hii sector kwa ujumla imekuwa niyakuonewa kila kukichaEti mkurugenzi anasema mpaka wamalize syllabus..
hata mwanza is the same thing ndugu... walimu wana shida sana....... nn maana ya likizo na wanafunzi wenyewe ndo hao hata hawana mood ya kusoma ni kama wanalazimishwa tu kubaki shule wakt wa likizoJamani nimesikia habari kwa baadhi ya walimu wa lushoto mara hii mkurugenzi wa wilaya hiyo amezuia likizo na walimu wanaendelea kufundisha kama kawaida mpaka tar 23/6/2017 ndio wafunge na watafungua kama tar 3/7/2017 kama mashule na ratiba ya taifa inavyosema.