Davy2 Member Joined Feb 4, 2012 Posts 79 Reaction score 7 Aug 16, 2014 #1 habari wana JF, naombeni mnijuze kwa maana napata wasiwasi sanaaa. Nimesikia eti kwa walimu waliofaulu mitihani ya supplementary 2014 wanatakiwa watume maombi TAMISEMI ya kuomba ajira. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Ni hlo 2
habari wana JF, naombeni mnijuze kwa maana napata wasiwasi sanaaa. Nimesikia eti kwa walimu waliofaulu mitihani ya supplementary 2014 wanatakiwa watume maombi TAMISEMI ya kuomba ajira. Je kuna ukweli wowote kuhusu hili? Ni hlo 2
Davy2 Member Joined Feb 4, 2012 Posts 79 Reaction score 7 Aug 18, 2014 Thread starter #2 halooo....hakuna mwny taarif hzi anisaidie?