ni kweli wameamua?

ni kweli wameamua?

Kobe

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2009
Posts
1,794
Reaction score
812
nimeona niwaulize wana Jf kweli viongozi wameamua kupunguza gharama za matumizi ya magari yao (mashangingi) kwa dhatia (kuionea huruma nchi) au ni geresha tu kuelekea uchaguzi mkuu? Then wakikamata madaraka wakamue kama kawa.!
 
Back
Top Bottom